[Video + Audio] harmonize - "Vibaya"
×Delete|
Set As PPix| Edit Article| Share
Tanzania singer, Harmonize unlocks a new track titled “VIBAYA”.
“ Vibaya ” produced by Boy Beat is Harmonize official follow up single
to the song – ‘ All Night‘ featuring Anjella (who also featured him on
her latest single KAMA ).
Speaking about this brand new music Harmonize shared; “ THIS ONE
FROM THE BOTTOM OF MY HEART…..!!!! SIKUZOTE NAHESHIMU NA
NITAENDELEA KUMUHESHIMU KILA MWANAMKE ALIEWAHI KUWA
KATIKA MAHUSIANO NA MIMI NIUKWELI USIOFICHIKA NILIANZA NA
(JACK ) THEN (SARAAH) KISHA (KAJALA) KILA 1 KWA WAKATI WAKE
….!!! NA KWA HAKIKA HAWA NDIO WANAWAKE WALIONIFANYA LEO HII
NIKAWA (HARMONIZE ) KWA PAMOJA TUMEPITIA MAZURI MENGI NA
MABAYA PIA ….!!! MARA NYINGI SIZIANGALII TOFAUTI PEKE…!!
NAANGALIA ZAIDI NYAKATI ZA FURAHA TULIZO PITIA NDIOMANA
SIJAWAHI KUMDHARAU AU KUMUONGELEA VIBAYA YEYOTE KATI YAO
ITOSHE KUSEMA NAWAHESHIMU NA KUWATHAMINI NA NAAMINI NI
ZAIDI YA MARAFIKI NA NDUGU NIOWAHI KUWA NAO TOFAUTI
HUTOKEA MUDA WOTE BILA KUJALI NI ZA AINA GANI AU ZINATOKEA
WAPI ILA MOYONI NAAMINI HAZIWEZI VUNJA UPENDO TULIO
UTENGENEZA KWA MUDA MWINGI MYOYONI …..!!!!! SIKU ZOTE
NITAENDELEA KUWAPA KIPAUMBELE KAMA WANAWAKE WENYE
NAFASI KUBWA SANAAA UKIACHA MAMA YANGU MZAZI NINGEPENDA
KUWAONA WENYE FURAHA ILI HATA KESHO NA KESHO KUTWA TUJE
KUZIKANA MAAANA HAKUNA AIJUAE KESHO YAKE ….!!!!! NAAAMINI
KUACHANA NI MWISHO TU WA MARIDHIANO KUTOKANA NA SABABU
HUSIKA LAKINI SIO VITA WALA UHASAMA …!!!! AU CHANZO CHA
KUDHALILISHANA NA NINGEPENDA KUONGEA ZAIDI KUHUSU (K)
….!!!!!! AMBAE NAWEZA SEMA NDIO MTU WA MWISHO KUMILIKI MOYO
WANGU …!!! LEO TUPO WAZIMA LAKINI HAKUNA ANAEIJUA KESHO
HAINA SABABU YA KUONYESHANA NANI NI ZAIDI NANI, KAUMIA , AU
NANI KAKOSEA ZAIDI, KULIKO MWINGINE KWANI HAINA MAANA
YEYOTE LAKINI PIA NI KUWAPA USHINDI WATU WALIOKUWA
WAKIPAMBANA KUONA HAYA MAHUSIANO HAYAPO TENE…..!!!!!!
KAMA ILIVYO ADA NITAENDELEA KUKUHESHIMU NA KUKUOMBEA
MAFANIKIO MEMA UMEKUWA MTU MZURI KWANGU HUSUSANI KWA
KIPINDI TULICHOKUWA PAMOJA ..!!! KWAKUWA MIMI SIO MTU WA
KUELEZA ELEZA SANA ILIKUWAJE IKAWAJE NAFUNIKA KOMBE
MWANA HARAMU APITE LAKINI PIA NIWASHUKURU ENGINEERS WOTE
MLIOFANIKIWA KULIKAMIRISHA HILI ….!!! DAT WAS GOOD PLAN NA
IMEFANIKIWA ….!!!!! ILA NIOMBE TU IWE KWA AMANIII …!!! ISIWE“.
Listen and Enjoy below!
DOWNLOAD NOW.
please leave a comment!!
....
DOWNLOAD VIDEI
@ @ @
Do you want to be notified of new song releases?
Click to follow us on Facebook now!