< meta name="googlebot-news" content="index, follow , max - image- preview : large, max- snippet : - 1 , max - video- preview : - 1">  
Login Register
Share On↷
Pinterest | LinkedIn | Flipboard

DOWNLOAD ALL KIND OF VIDEOS WITH OUR THATCRUISE FILE FAST SAVER

EXACT HIS EXCELLENCE PRESIDENT TINUBU N50K CASH GRANTS TO 100K NIGERIA YOUTHS

Get full access to #That-cruise.net.ng Use the app

[Video + Audio] harmonize - "Vibaya" » That-cruise

ADVERTISEMENT

[Video + Audio] harmonize - "Vibaya"

×Delete| Set As PPix| Edit Article| Share


Tanzania singer, Harmonize unlocks a new track titled “VIBAYA”. “ Vibaya ” produced by Boy Beat is Harmonize official follow up single to the song – ‘ All Night‘ featuring Anjella (who also featured him on her latest single KAMA ). Speaking about this brand new music Harmonize shared; “ THIS ONE FROM THE BOTTOM OF MY HEART…..!!!! SIKUZOTE NAHESHIMU NA NITAENDELEA KUMUHESHIMU KILA MWANAMKE ALIEWAHI KUWA KATIKA MAHUSIANO NA MIMI NIUKWELI USIOFICHIKA NILIANZA NA (JACK ) THEN (SARAAH) KISHA (KAJALA) KILA 1 KWA WAKATI WAKE ….!!! NA KWA HAKIKA HAWA NDIO WANAWAKE WALIONIFANYA LEO HII NIKAWA (HARMONIZE ) KWA PAMOJA TUMEPITIA MAZURI MENGI NA MABAYA PIA ….!!! MARA NYINGI SIZIANGALII TOFAUTI PEKE…!! NAANGALIA ZAIDI NYAKATI ZA FURAHA TULIZO PITIA NDIOMANA SIJAWAHI KUMDHARAU AU KUMUONGELEA VIBAYA YEYOTE KATI YAO ITOSHE KUSEMA NAWAHESHIMU NA KUWATHAMINI NA NAAMINI NI ZAIDI YA MARAFIKI NA NDUGU NIOWAHI KUWA NAO TOFAUTI HUTOKEA MUDA WOTE BILA KUJALI NI ZA AINA GANI AU ZINATOKEA WAPI ILA MOYONI NAAMINI HAZIWEZI VUNJA UPENDO TULIO UTENGENEZA KWA MUDA MWINGI MYOYONI …..!!!!! SIKU ZOTE NITAENDELEA KUWAPA KIPAUMBELE KAMA WANAWAKE WENYE NAFASI KUBWA SANAAA UKIACHA MAMA YANGU MZAZI NINGEPENDA KUWAONA WENYE FURAHA ILI HATA KESHO NA KESHO KUTWA TUJE KUZIKANA MAAANA HAKUNA AIJUAE KESHO YAKE ….!!!!! NAAAMINI KUACHANA NI MWISHO TU WA MARIDHIANO KUTOKANA NA SABABU HUSIKA LAKINI SIO VITA WALA UHASAMA …!!!! AU CHANZO CHA KUDHALILISHANA NA NINGEPENDA KUONGEA ZAIDI KUHUSU (K) ….!!!!!! AMBAE NAWEZA SEMA NDIO MTU WA MWISHO KUMILIKI MOYO WANGU …!!! LEO TUPO WAZIMA LAKINI HAKUNA ANAEIJUA KESHO HAINA SABABU YA KUONYESHANA NANI NI ZAIDI NANI, KAUMIA , AU NANI KAKOSEA ZAIDI, KULIKO MWINGINE KWANI HAINA MAANA YEYOTE LAKINI PIA NI KUWAPA USHINDI WATU WALIOKUWA WAKIPAMBANA KUONA HAYA MAHUSIANO HAYAPO TENE…..!!!!!! KAMA ILIVYO ADA NITAENDELEA KUKUHESHIMU NA KUKUOMBEA MAFANIKIO MEMA UMEKUWA MTU MZURI KWANGU HUSUSANI KWA KIPINDI TULICHOKUWA PAMOJA ..!!! KWAKUWA MIMI SIO MTU WA KUELEZA ELEZA SANA ILIKUWAJE IKAWAJE NAFUNIKA KOMBE MWANA HARAMU APITE LAKINI PIA NIWASHUKURU ENGINEERS WOTE MLIOFANIKIWA KULIKAMIRISHA HILI ….!!! DAT WAS GOOD PLAN NA IMEFANIKIWA ….!!!!! ILA NIOMBE TU IWE KWA AMANIII …!!! ISIWE“. Listen and Enjoy below!

DOWNLOAD NOW.

please leave a comment!!
....DOWNLOAD VIDEI







[Video + Audio] harmonize - "Vibaya" » Hottest » Song’s » Trending
# # #

Do you want to be notified of new song releases? Click to follow us on Facebook now!


 

Do you find THATCRUISE useful? Click here to give us five stars rating!

More
★ ★

Tags

Join the Discussion

anonymous comment avatar Anonymous
Hmm.. Super Cool Reply
2 days ago


No one has commented yet. @This Hour Kindly Be The First! @This Hour !! and Earn Money On Hypesloaded

Leave a Reply


Write A Comment Below
please add comments on This Articles [Video + Audio] harmonize - "Vibaya"